Wajasiliamali wa Teknolojia

Kwa nini ujasiriamali?

Ujasilriamali ni uthubutu wa kufanya unachofikiria. Ukishafikiri cha kufanya, unapata picha, baadaye hiyo picha unaisimamisha kwa namna ya biashara, kisha unaiweka katika mazingira halisi ya biashara.

Sisi tunawahamasisha hasa vijana waliomaliza shule ya elimu ya juu kujiajiri. Hapa tunamaanisha kwamba katika kile ambacho unataka kukifanya, tafuta mtaji hata kwa kuajiriwa kisha uhakikishe mawazo yako ya kuanzisha kitu hayapotei.

Tengeneza mazingira polepole , unapopata mtaji kiasi fulani, wekeza katika biashara yako uliyoiandaa. Utakapofikia hatua ya kwamba mambo yametengamaa , jiajiri sasa, endesha biashara yako kama itakiwavyo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s