Wajasiliamali wa Teknolojia

Maskani

1509713_523979071075966_7155634184517501648_nSanaa hii ambayo kitabu chake tayari kipo, chapatikana kirahisi kabisa. Tupigie simu, tuandikie kwa barua pepe, wakati mwingine tufuate tulipo ili tukupanue kimawazo uone maendeleo yatakayoweza kukufanya ufikiri kujiajiri au kufanya kazi kwa umahiri ukiwa umeajiriwa pia.

Sisi tuko karibu nawe. Wewe sasa uwe tayari kufundishika na kuyashika yale ambayo mjasiria mali anatakiwa kuwa nayo.  Tutasaidiana na tutahakikisha kwa namna ya kushirikiana tunafika kule tuendako.

Utani hautakiwi katika juhudi za kimaendeleo. Mazoea hayatakiwi pia. Tunavaa kazi, tunajishughulisha na tunafanya yale tunayodhamiria. Uvivu, tunauweka chini na mambo yote yanayosababisha maendeleo kurudi nyuma tunayafungia katika shimo la sahau. Sasa twende. Tusonge mbele. Tuyafikie maendeleo tunayoyahitaji. Karibu!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s